mwanamke.mmoja nchini taiwani ambae anaugua kansa ya matiti aamua kujioa mwenyewe baada ya kukosa bwana
mwanamke huyo anasema alingojea saana mtu wa kumuoa lakini amekosa ameamua kujioa yeye mwenyewe kama hatua ya kujifatiji
mwanamke huyo wa miaka.28 alikodisha nguo za harusi na kwenda kupiga picha pekeyake akisema anajaribu kutimiza ndoto za kuorewa
Tags
Entertaiment