UVUMI KUHUSU KIFO CHA MZEE MAJUTO

Mapema leo.kulizuka taarifa za kuwa mzee majuto kafariki baada ya kuumwa

lakini taarifa hizo ni za uzushi na zinaenezwa na watu wachache ili kumchafua mzee majuto ambae alikuwa anaumwa lakini sasa anaendelea vizuri na afya yake inatengamaa tofauti na ilivyo sambazwa

Tazama video hiyo mzee majuto akifanyamazoezi mapema leo

Post a Comment

Previous Post Next Post