
Mbunge wa kawe Halima mdee aachiwa kwa zamana leo baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa
mdee alipandishwa mahakamani kujibu mashitaka ya kumtukana raisi akiongea na wana habari
akisomewa mashitaka mdee aliambiwa amemtukana raisi aliposema "raisi anaongea hovyo inabidi afungwe breki" baada ya kusomewa mashitaka hayo mdee alikana mashitaka
hakimu akaruhusu dhamana na mdee akaachiwa kwa dhamana ya ahadi ya shilingi milioni kumi na wazamini wawili ambapo kesi hiyo imehailishwa mpaka tarehe saba mwezi ujao
Tags
Kitaifa