JAMAA AINGIA UWANJANI KUMKUMBATIA ROONEY POLISI WAMDAKA

Jamaa ambae jina lake halija fahamika aingia uwanjani na kumkumbatia rooney

jamaa huyo aliweza kuwakwepa polisi na kufanikiwa kumkumbatia rooney wakati mechi inaendelea
jamaa huyo aliingia na hatimae polisi walifanikiwa kumweka chini ya ulinzi katika mechi ambayo gormahia ingawa walifungwa lakini wamejitahidi kucheza mpira mzuri na kuambulia kufungwa gori mbili kwa moja

Post a Comment

Previous Post Next Post