WATU WAWILI WAFARIKI BAADA YA GARI LAO KUKWAMA KWENYE SHIMO



Watu wawili wanamume waofiwa kufariki baada ya gari lao kukwama kwenye shimo

tukio hilo limetokea katika mji wa mexico city nchini mexico ambapo watu hao walitumbukia kwenye shimo lililopo barabarani

shimo hilo lilikuwa kwenye barabara ambayo ilija maji na hatimae kutengeneza shimo ambalo watu hao walitumbukia

watu hao walikuwa na gari aina ya pick up hawakujua kama kulikuwa na shimo ghafla wakajikuta wametumbukia shimoni wakiwa ndani ya gari


Post a Comment

Previous Post Next Post