
Mwanamume mmoja nchini india amemuua mke wake baada ya kuchelewa kupika chakura
mwaname huyo anatabia ya ulevi na huwa anampiga mke wake mara kwa mara akitoka kwenye pombe
baada ya kumpiga risasi mwanamke huyo alikimbizwa hospitali lakini alifariki njiani akikalibia hospitali
baada ya tukio hilo mtuhumiwa alikiri kufanya tukio hilo la kusababisha mauti kwa mkewake na anajuta kwa alicho kitenda kwa mke wake
Tags
Entertaiment