APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUWALAWITI WATOTO.WAWILI

Mahakama ya hakimu mfawizi wa wilaya ya igunga imempandisha kizimbani  Halid  mohamed miaka 28 kwa tuhuma za kuwalawiti watoto wawi wanaosima shule ya msingi chipukizi wilayani hapa

katika shitaka la kwanza mtuhumiwa alimfanyia kitendo cha ulawiti mwanafunzi mmoja wa chipukizi shule ya msingi miaka 8 wa darasa la pili kiasi cha kumsababishia maumivu makubwa katila sehemu za siri

katika shitaka jingine mtuhumiwa huyo katika.maeneo ya Uarabuni mjini hapa . anadaiwa kumlawiti mtoto mwingine wa miaka 7 ambae ni mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi chipukizi pia

baada ya kusomewa mashitaka hayo mtuhumiwa Halid alikana makosa hayo na kuachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 4 huku kesi hiyo ikihailishwa mpaka julai 17 mwaka huu

Post a Comment

Previous Post Next Post