WABUNGE WAPIGANA BUNGENI



Nchini Taiwani wabunge wapigana baada ya kupishana kauli

kulikuwa kuna mada ya kupitisha mradi wa maendeleo ambao wapinzani walikalamika kuwa ulikuwa ubaegemea upande mmoja

baada ya kuwasilishwa kwa pendekezo la mladi huo wabunge wa upinzani waliupinga lakini chama tawala wakataka kutumia uwingi wao bungeni

ndipo wabunge wa upinzani wakaanza kurusha vyupa vya maji kuelekea kwa spika na hatimae ugomvi ukazuka hatua ya kurushiana viti na hatimae kupigana mwilini kabisa


Post a Comment

Previous Post Next Post