DARAJA REFU ZAIDI DUNIANI LAZINDULIWA USWISI



Nchini Uswisi kumezinduliwa daraja ambalo ni refu zaidi duniani

daraja hili lina urefu waita 500 huku likiwa umbali wa mita 87 kutoka usawa wa ardhi na limekuwa likiwavutia watu wengi

daraja hilo lime wavutia watarii wengi na limejengewa nguzo za kuzuia lisitikisike na kusukumwa na upepo

daraja hilo limejengwa kwenye daraja ambalo lilijengwa mara ya kwanza baada ya kuharibika baada ya kusukumwa na miamba


Post a Comment

Previous Post Next Post