BARUA ZA KUJIUZURU KWA MADIWANI WA CHADEMA JIMBONI HAI ZIMEBAINIKA KUANDIKWA NA MTU MMOJA NA AMEJICHANGANYA



Mwenyekiti wa halmashauri ya Hai Helga mchomvu amekiri kupokea barua za madiwani watatu kutangaza kujiuzuru lakini barua hizo zina makosa

amesema katika barua iliyo andikwa tarehe 25 inaonesha kuwa diwani wa kata ya mnadani Ernest Kimarth ni diwami wa kata ya Weruweru na siyo Mnadani lakini ina sahihi yake

pia barua ya diwani wa Weruweru Abdalah Chimiti inaonesha ni diwani wa kata ya Mnadani na siyo wa kata ya Weruweru lakini pia ina sahihi yake pia

diwani watatu ndyo barua yake haina kasoro katika uandishi wake alio ufanya

kutokana na hivyo imebainika kuwa barua hizo ziliandikwa na mtu mmoja na baadae wahusika kutia saini bila ya kusoma maelezo vizuri

pia kufuatia kuhama kwao chadema Hai imesema walio hama hawaathiri utendaji wao wa kichama na walikuwa ni sehemu tu ya wanachama


Post a Comment

Previous Post Next Post