
Mtoto ambae alikuwa shabiki mkubwa wa sunderland ambae alikutwa na uginjwa wa kansa ya damu afariki dunia
bladley alikutwa na ugonjwa huo wa kansa tangu akiwa na miezi 18.tuu hatimae amefariki dunia baada ya kuuhua kansa hiyo kwa kipindi kirefu

pia mtoto huyo alikuwa anampenda saana defoe mda mwingine alimwomba walale wote
madaktari walisema hataweza kuishi na hatimae amefariki
Tags
Michezo