KIJANA WA MIAKA 16 AMWOA BIBI WA MIAKA 70

Kijana mmoja wa miaka 16 afunga ndoa na bibi wa miaka 70 nchini indonesia huku akiacha watu midomo eazi

kufahamika kwa ndoa hiyo kulikuja baada ya video ya harusi hiyo kusambaa kwenye mitandao nchini indonesia huku sheria za ndoa zikiwa haziruhusu

baada ya kufungwa ndoa hiyo watu wengi walihamaki na kustaajabishwa kwa kijana huyo kufunga ndoa ma bibi wa miaka 70

kijana huyo ambae baba yake alifariki miaka kadhaa iliyopita anaishi na mama yake ambae ameshindwa kuelezea kwanini mtoto wake amwie ajuza huyo

mpaka sasa chanzo cha kuoana kwa wawili hao hakija julikana huku wengine wakisema mzazi wake anajua

Post a Comment

Previous Post Next Post