
Baraza moja la kijiji nchini Pakistani liliamuru dada abakwe baada ya kaka yake kumbaka binti wa jirani
binti huyo wa miaka kumi na saba alibakwa kama kulipiza kisasi baada ya kaka yake kumbaka binti wa jirani yake
nchini pakistani tabia ya ubakaji inapamba moto kila kukicha huku visa vya ubakaji vikiwa vinaongezeka kwa kasi kubwa
mapema mwaka jana dada mmoja aliamuliwa na wazee wa kijiji abakwe baada ya kaka yake kumuoa binti kutoka familia ya kitajiri hatua iliyo waudhi wazee wa kijiji
mpaka sasa polisi ina washikilia wazee walio amua kufanyika kwa ubakaji huo ili kuwachukulia hatua za kisheria
Tags
Kimataifa