WAANDISHI WA HABARI WA TBC WAFUKUZWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA



Jana kulishuhudiwa kufukuzwa kwa waandishi wa habari wa TBC wakituhumiwa kuwa hawaandiki habari kwa usawa na wamekuwa wakiiandika vibaya chadema na muda mwingine hawaandiki kabisa

baada ya tukio hilo jukwaa la wahariri limetoa tamko lao juu ya chadema kuto furaishwa na kitendo hicho cha kufukuzwa kwao


Post a Comment

Previous Post Next Post