
Nchini marekani kuliandaliwa shindano la kushindanisha wanafunzi katika tekenelojia ya roboti
katika shindano hilo wanafunzi kutoka nchi 150 walialikwa kuja kuonesha vipaji vyao kwenye upande wa tekenolojia ambapo mataifa ya kiarabu pia yalishiliki
burundi ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizo alikwa na kupeleka vijana sita katika mashindano hayo nchini marekani kwenye mji wa Washngton
lakini baada ya kumalizika kwa shindano hilo polisi kwenye mji huo imetoa taarifa kuhusu vijana kutoka burundu kupotea na hawajulikani walipo mpaka sasa
kuna tetesi kuwa vijana hao wamevuka mpaka na kwenda kanada ingawa taarifa si za uhakika
polisi ilitoa picha za vijana sita wakiwemo wakike wawili kuwa wamepotea na hawajulikani walipo mpaka sasa
Tags
Kimataifa