Jeshi la serikali ya Niger limewauwa wananchi 14 kwa makosa karibia na mpaka na naijeria
katika tukio hilo wananchi 14 waliuawa karibia na mpaka huku kukiwa na taarufa tofauti kutoka kwa jeshi la serikali kuhusu mauaji hayo
cha kushangaza ni kwamba wananchi hao ni wakulima katika maeneo hayo na hawakuwa na siraha zozote
taarifa ya jeshi inasema walihisi waliliwa waanamgambo wa Boko haramu kumbe walikuwa raia tuu
mpaka sasa chanzo kamili.cha kuuawa watu wasio na siraha akija fahamika kwakuwa jeshi halijatoa maelezo ya kutosha
kwa muda sasa jeshi la Niger linafanya msako katika mpaka wake na Naijeria wakiwasaka wanamgambo wa bhoko haramu ambao huvuka mpaka kutoka Naijeria na huingia Niger na kusababisha mauaji kwa raia kama wafanyavyo Nijeria

Tags
Kimataifa