18.WAFARIKI BAADA YA GARI KUWAKA MOTO

Watu zaidi ya 30 wamejeruhiwa baada ya gari walilokiluwa wanasafilia kuwaka moto likiwa njiani

ajari hiyo imetokea kusini mwa ujerumani katika mji wa bavaria ambapo watu 18 wakiwa wamefariki

wengi wa waliokuwepo kwenye ajari hiyo ni wazee na kilikuwa na msongamano ndiyo maana waokoaji walichelewa kufika eneo la tukio

mpaka sasa chanzo cha kuwaka moto kwa gari hilo hakija julikana polisi bado wapo kwenye uchunguzi ili waweze kujua chanzo ni nini

Post a Comment

Previous Post Next Post