PANASONIC YAJA NA BETRI INAYOPINDA

Kampuni ya tekenolojia ya panasonic yaja na betri inayo jipinda kama lailoni

betro hiyo ina uwezo wa kutumika kwenye simu, redio na hata saa na inatarajiwa kuwa msaadakubwa katika tekenolojia

kampuni kutoka korea kusini ya panasonic ndiyo iliyo iiunda betri hiyo ambayo wanaiboresha ili iweze kutumika siku zijazo katika simu za mkononi

wamesema ulikuwa mpango wao wa muda wa mrefu kufanya mabadiriko katika tekenolojia ya sasa wanasema walifikilia kuyafanya maisha yawe rahisi na wamefanikisha katika hilo

kampuni hiyo ya panasonic ilikuwa maarufu saana miaka ya nyuma kwa bidhaa zake mfano simu ambazo zilipendwa saana na wateja hasa Afrika ambako walikuwa ni wateja wakuu

Post a Comment

Previous Post Next Post