WAWILI WAUAWA TENA KIBITI

Watu wawili wauawa wilayani kibiti usiku wa kuamkia leo jumatano

kwa mujibu wa polisi walio fariki ni shamte makawa ambae ni mtendaji wa kijiji pamoja na michael nicholous ambae ni mwenyekiti wa kitongoji

pia watu hao walio fariki pia nyumba zao zimekutwa zimechomwa na walio sababisha mauaji hayo hawaja fahamika mpaka muda huu

polisi imekili kutokea tukio hilo na wameenda eneo la tukio kwaajili ya uchunguzi zaidi kufuatia tukio hilo

tangu kuanza kwa mauaji hayo watu zaidi ya 37 wamesha poteza maisha kufuatia mauaji hayo wakiwemo askari polisi 13


Post a Comment

Previous Post Next Post