Rais wa TFF na mwenzake wakamatwa na polisi
kwa mujibu wa taarifa wawili.hao wamekamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU
kwa mujibu wa afisa habari wa TAKUKURU Mussa misalaba wawili hao wamekamatwa na wanashikiliwa katika kutuo cha polisi cha salenda bridge mpaka uchunguzi utakapo.kamilika
Tags
Kitaifa