Polisi nchini uingereza imesibitisha kuwa zaidi ya watu 19 wamefariki baada ya kutokea mlipuko.katika ukumbi wa muziki mjini manchester
kwa mujibu wa mashuhuda wamesema wakati mwimbaji kitoka marekani arein grend akamaliza kiuimba ghafla ukatokea mlipuko mkubwa ambapo.watu 19 wamefariki na na zaidi ya 50 kujeruiwa
mpaka sasa hakuna kikundi chochote kilicho kili kuhusika na mauaji hayo na polisi wanaendelea na uperelezi kuwabaini walio husika
watu walio.kuwemo humo wamesema waliishuhudia misumali ikiwa imetapakaa chini baada ya kutokea mlipuko huo
Tags
Kimataifa