Kundi la wanamgambo lililosumbua colombia la FARC lakubari kufuta kundi lao
kundi hilo lilikuwa linatawala robo ya ardhi ya colombia kwa zaidi ya miaka 30 na kupambana na jeshi la serikali kwa kipindi chote hicho
hatimae kikindi hicho cha waasi ambao walisababisha vifo vya watu zaidi ya milion tangu kianze kupambana kikosi hicho kimekubari kuwa watu wema katika jamii
raisi wa nchi hiyo amesema ni furaha kwake kuona wana badirishana siraha na maneno ya amani na wanatarajia waasi hao watakuwa mfano wa kuigwa uraiani
kwa kipindi kirefu walikuwa kwenye majadiriano ambayo kwa kipindi kirefu yalikuwa yakikosa matokeo mazuri hatimae sasa amani imepatikana
Tags
Kimataifa