Rais wa chama cha wanasheria tanzania Tundu lisu ameitisha mkutano kujadili uundwaji wa bodi ya usajili wa mawakili inayotaka kuundwa
Lisu amesema bodi hiyo itakuwa chini ya wizara ya sheria na itakuwa na maamuzi makubwa kwa mwanasheria yoyote
amesema bodi hiyo inaweza kumfuta mwanasheria yoyote pale itakapo lizia kufanya hivyo kwa mwanasheria yoyote
lissu amese bodi hiyo inania ya kuwazuia wanasheria kujihusisha na siasa hususani kwa mawakili na wanasheria wa upinzani nchini
amesema bodi hiyo haina nia nzuri nivizuri wanasheria wakae na kuijadili ili wafahamu kiundani kuhusu bodi hiyo
tundu lisu ni raisi wa chama cha wanashelia nchini TLC pia ni.mbunge wa singida akiwakilisha chama cha demokrasia na maendeleo chadema pia ni mwanasheria mkuu wa chadema
Tags
Kitaifa