Aliye kuwa.rais wa shilikisho la mpira wa miguu nchini jamali malinzi akubari kuachia nafasi yake
hatua hiyo imekuja baada ya malinzi kuwa lumande mpaka tarehe 13 mwezi wa saba baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya dhamana
hivyo malinzi hataweza kuhuzuria vikao vya usaili wa wagombea wapya wanafasi tofauti za TFF ikiwemo nafasi ya urais ambayo alipanga kuitetea
malinzi ana mashitaka.26 ikiwemo matumizi mabaya ya ofisi kutakatisha pesa na kughushi nyalaka za TFF ambapo atapandishwa tena kizimbani tarehe 13 mwezi wa saba kujibu mashitaka yanayo mkabili
malinzi na mwenzake walikamatwa juzi hali iliyo sababisha sito fahamu huku ikiwa ni mala ya kwanza kwa viongozi wa TFF kupandishwa kizimbani kwa makosa kama haya
Tags
Kitaifa