MWALIMU AJIUA KWA KUNYWA SUMU

Mwalimu Betson sanga aliyekuwa akufundisha katika shule ya sekondari milundi wilayani nkasu amekutwa amefariki ndani ya nyumba ya wageni

kwa mujibu wa taarifa mwalimu huyo alichukuwa chumba kwenye nyumba moja ya wageni karibu na kitui cha mabasi na hatimae jioni aliludisha funguo

baadae usiku wa manane alikuja tena akiwa amelewa pombe na akaomba tena funguo na akapatiwa akaingia chumbani alimo lipia

baada ya muda muhudumu aliskia mtu akikoroma kwa nguvu ndipo aksomba msaada kwa wateja wengine wakavunja mlango na kuingia wakamkuta akiwa hali mbaya ndipo wakaamua kumkimbiza hospitali njiani akafariki dunia

ndani ya chumba marehemu aliacha ujumbe uliondikwa "kama kuna mtu ananidai aende kwa mwajiri wangu na mtu huyo asilaumiwe kwa uamuzi wangu wa kujinyonga"

kamanda wa polisi alisibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema kwa uchunguzi uliofanywa hospitali imegundulika marehemu alikunywa sumu..


Post a Comment

Previous Post Next Post