HELKOPTA YASHAMBULIA BUNGE VENEZUELA

Helkopta moja ilishambulia offisi za bunge nchini venezuela na kufanya uharibifu

polisi wanasema helkopta hiyo ya polisi iliibwa na mmoja wa polisi ambae aliruka nayo mpaka bungeni na kufanya shambulio hilo

raisi wa nchi hiyo amesema shambulio hilo ni la kigaidi na lina lengo baya na serikali .Hatua hii imekuja siku chache baada ya kushuhudiwa kwa maandamano makubwa maeneo tofauti nchini venezuela

aliye fanya tukio hilo alisikika akusema anaichukia seri kwa kuwa inakihuka demokrasia na mpaka sasa aliye fanya shambulio hilo hajulikani aliko mpaka sasa



Post a Comment

Previous Post Next Post