Timu ya vijana ya uingereza chini ya miaka mitano yatolewa na kushindwa kutinga fainali ya michuano hiyo
uingereza imetolewa kwa mikwaju ya penalt dhidi ya ujerumani ambapo katika mechi hiyo uingereza ikaanza kuongoza baadae ujeruman waka sawazisha
katika mikwaju ya penati uingereza ilifungwa 3-4 na ujerumani kuja kukutana na uispania ambayo imeifunga italia
Tags
Michezo