mkuu wa polisi mkoani hapa amesibitisha kutokea kwa ajari ya mtumbwi ambapo wanafunzi wa tatu wamepoteza maisha
akiongea na waandishi.mkuu wa polisi amesema watoto wengine tisa wamenusulika baada ya mtumbwi kupinduka wakati wakitoka shuleni
polisi inamshikilia mmiliki wa mtumbwi huo ili kubaini chanzo kamili cha ajali hiyo ambapo taarifa inasema miili ya watoto hao imepatikna na kukabiziwa wafiwa
mtumbwi ndyo usafiri mkuu akita visiwa vya ziwa victoria ila mitumbwi mingi haina ubora ndyo maana husababisha ajali.mala nyingi
Tags
Kitaifa