polisi.mkoani mwanza imesibitisha taarifa za kubakwa binti wa miaka 15 na wanaume watatu mkoani.mwanza
mkuu wa polisi amesema binti huyo alikuwa na.mahusiano ya kimapenzi na mmoja wa wabakaji ambae alihaidiana nae wakutane kwaajili ya mazungumzo
baada ya binti huyo kifika walipo kubariana wakawa wamesogea pembeni ambapo kuna nyumba mbuvu kwaajili ya maongezi ghafla wakatokea vijana wawili na kuwa watatu.na kumfanyia ukatili huo
binti huyo alipaza sauti za kuomba msaada ndipo wasamalia wakaja kumsaidia na kuwakamata vijana hao
akiwataja kwa majina mku wa polisi aliwataja Fredi remigius miaka 20, jackson joseph.miaka 17 pamoja na frank harun miaka 18 woote wakazi wa mwanza
Tags
Kitaifa