walio fariki ajarini uturuki wafikia 21

chanzo kimoja kimesema ajari ya basi iliyo tokea jana uturuki vifo vimefikia 21 baada ya gari la watarii kupata ajari

basi hilo kubwa la watarii lili.gonga mwamba huku maafisa polisi wakisema ni uzembe wadereva ulipelekea ajari kutokea


Post a Comment

Previous Post Next Post