mrembo pichani ambae alikuwa ni jambazi sugu aliuawa na polisi mjini nairobi hivi majuzi
jambazi huyo ambae amekuwa akiweka picha katika facebook akiwa mrembo na wakuvutia hakujulikana kama ni jambazi
mrembo huyo aliawa yeye.na mwenzake wakati wakijaribu kufanya uharifu.nchini kenya
Tags
Entertaiment