baada ya kuturia mzozo baina ya marekani na korea kaskazini hatimae.korea wafanya jaribio jingine la nyuklia
kufuatia tukio hilo serrikari ya marekani yapendekeza vikwazo zaidi kwa korea baada ya jaribio hilo ambalo wameliita ni upuuzi
pia rais mpya wa korea kusini ame raani vikari jaribio hilo akisema linatishia amani yao na dunia kwa ujumla
Tags
Kimataifa