viziwi wawashitaki wamiliki wa vyombo vya habari

umoja wa viziwi tanzania waamua kuwashitaki wamiliki wa vyombo vya habari nchini hasa wa televisheni nchini

wamechukua hatua hiyo baada ya tv nyingi tanzania kuwanyima haki ya kuelewa taarifa zao.kwa kuto wawekea watafasiri maalumu kwa viziwi

umoja huo umetaka kila tv kuwa na watu wanao ongoza viziwi kama wafanyavyo nchi nyingine kwa kuwa nao ni watanzania wanaitaji kupata taarifa pia

Post a Comment

Previous Post Next Post