mahakama nchini taiwani yaruhusu.ndoa za jinsia moja

taiwani ndyo nchi ya kwanza barani asia kuruhusu ndoa za jinsia moja

mahakama nchini taiwani yaruhusu ndoa za jinsia moja na kuwaacha raia wawe huru kwenye mahusiano yao

mahakama imesema ni ukiukwaji wa haki.kuwakataza watu kufanya wanavyo jiskia na kuwaacha wafanye wanavyo jiskia

mahakama ilisema kumuingilia mtu maamuzi ya mapenzi ambayo ni jambo binafsi ni ukandamizaji hivyo basi raia wa taiwani wapo huru

Post a Comment

Previous Post Next Post