simba na mbao vitani leo

katika fainali ya FA leo.simba anaenda kuminyana na mbao fc katika uwanja wa ccm kirumba

katika mechi ya mwisho simba alishinda kwa mbinde hivyo basi leo anaingia huku akijua anaenda kucheza na timu imara

na mbao nao wamekuwa wakikomaa wakikutana na timu kubwa ambapo katika mchezo wa ligi kuu walifanikiwa kuifunga yanga katika mechi yao ya mwisho

mshindi wa mechi hii ataenda kuiwakilisha tanzania katika michuano ya kombe la shilikisho barani afrika

Post a Comment

Previous Post Next Post