majimaji nayo yapigwa faini

timu ya majimaji ya mjini songea ni miongoni mwa timu zilizo pigwa faini na TFF

majimaji wamepigwa faini baada ya kurudia kosa ambalo walisha lifanya

majimaji waligoma kuingia kwenye vyumba vya kupumzikia katika mechi  yao na JKT RUVU mchezo ulio chezewa mkwakwani jijini tanga

majimaji wametozwa faini ya sh.milion moja baada ya kufanya kosa hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post