mvua zinazonyesha kwa wiki tatu sasa zimeleta maafa makubwa sehemu nyingi nchini na kusababisha kuharibika kwa miundombinu sehemu nyingi
ambapo visiwani zanzibar shule zimefungwa kutokana na mvua hizo wanafunzi wanashindwa kwenda shule kutokana na mafuriko
na katika baadhi ya mikoa madaraja na barabara zimeharibika na.baadhi ya raia kulazimika kuyaama makazi kutokana na kuzungukwa na mvua
Tags
Kitaifa