mtu mmoja nchini uingereza amejeruiwa kwa kisu katika mji wa london nakupata majeraha.makubwa mwililini
mtu huyo ambae alikuwa na baiskeli alikutwa pembezon mwa barabara akiwa hajiwezi baada ya kushambuliwa vibaya
afisa wa.polisi amesema wanamume wawili wana shikiliwa kwa kuhusika katika tukio hilo.huku mgonjwa akienderea vizuri
Tags
Kimataifa