waasi zaidi wa kundi la farc nchini kolombia wazidi kujisalisha na kuwa raia wema nchini colombia na kusalimisha siraha zao
waasi wa farc wamekuwa wakipigana na serikali kwa miongo kadhaa wengi wao waamua kurudi uraiani na umoja wa mataifa wamewapatia vyeti
ina amoinika waasi wengine zaidi ya 6000 wanatarajiwa kujisalimisha wao na siraha zao
Tags
Kimataifa