mkuu wa mkoa wa mwanza mh john mongele aagiza diwani wa kata ya bwisya (ccm) kukamatwa kwa ubadhilifu wa pesa za serikari
diwani huyo na mtendaji wa kijiji wilayani ukerewe walitakiwa kujenga nyumba yenye samani ya milioni 17 na matokeo yake milioni sita waligawana na kutoa taarifa kuwa nyumba imekamilika wakati ujenzi wake umesimama na hata haija ezekwa
mkuu wa mkoa amemwagiza mkuu wa polisi wilaya kuwakamata watuhumiwa na kuwahoji wapi waliko peleka pesa hizo za serikali
awali diwani alitoa taarifa za ujenzi huo akisema umekamilika kumbe umeishia njiani na pesa kuzitumia kwa matumizi binafsi
Tags
Kitaifa