mtu mmoja kauawa na polisi reo baada ya kutaka kufanya jaribio la uporaji pesa ambazo zilikuwa zikiwekwa kwenye ATM
tukio hilo limetokea reo msjira ya hasubui ambapo marahem akiwa na wenzake walitaka kufanya jaribio la uporaji kutoka katika gari lililokuwa limebeba pesa kwaajili ya kuziweka katika ATM maeneo ya uhamiaji kurasini
katika tukio hilo marehem alitakiwa kujisalimisha lakini alionesha kukaidi alipo taka kutoa bastola ndipo polisi waka muwai yeye
pia polisi wamemkamata jambazi mwingine mmoja huku wengine wakifanikiwa kutoroka
Tags
Kitaifa