chelsea wafuta ziara yao manchester

timu ya chelsea yatangaza kufuta ziara yao mjini manchester ambayo walipanga kwenda kuwaonesha kombe mashabiki wao wa mji huo

hatua hiyo imekuja baada ya juzi kutokea mlipuko ambapo watu.zaidi ya 22 walipoteza uhai wao katika mlipuko wa bomu katika ukumbi wa muziki

pi wachezaji wa chelsea watatoa lambilambi zao kwa wafiwa chelsea ilipanga kutumia gari la wazi kuonesha kombe hilo mjini humo lakini wameamua kusitisha

Post a Comment

Previous Post Next Post