tores atangaza kustaafu soka

Admin
By -
0
Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Chelsea na Atlético de Madrid, Fernando Torres ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa.

 Torres atundika daluga baada ya kuhudumu kwenye Soka kwa miaka 18. Akiwa na miaka 35 nyota huyo pia ameichezea timu ya taifa ya Hispani
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)