mzee azikwa na magazeti yake yote aliyosoma

Admin
By -
0



Raia wa Uganda, Dodoviko Ssenyonjo (89) amezikwa na lundo la magazeti aliyokuwa akisoma enzi za uhai wake, kama alivyotaka, kwa sababu hakuamini kama familia yake itaweza kuyahifadhi kama alivyofanya yeye.




Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)