Ajali hiyo imetokea katika mji wa Buyofwe Kusini mwa jimbo la Lualaba.
Taarifa kutoka Radio Okapi zinasema treni hiyo ilianguka kisha kuwaka moto, Gavana wa jimbo la Lualaba Richard Muyej ameiambia BBC kwamba kuna ajali iliyotokea lakini haifahamiki ni watu wangapi waliofariki.
ULIPITWA NA HII..? WANANCHI WAMCHAPA VIBOKO DAKITARI