Wanafunzi 21 wakidato cha Tano na Sita wa shele ya Sekondari Mtakatifu Paul Liuli wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kufanya uharibu wa mali za shule kwa kuvunja vioo, madawati na meza na kukutwa na silaha za jadi kama vile visu na mapanga nondo na kukutwa na Bangi
Taarifa zaidi tutakuletea baadaye