katika hali iliyo shangaza watu wengi serikali ya cameroon yakataza watu kusafiri kwenye jimbo linalo taka kujitenga kuwa nchi
jimbo hilo ambali lipo mpalani mwa naijeria ni jimbo ambalo wananchi wake wana zungumza lugha ya kiingereza
serikali imesema ni marufuku kusafiri ama kufanya mikusanyiko yoyote ndani ya jimbo hilo huku wanai ingia kwenye jmbo hilo kuchunguzwa
wakazi wa jimbo hilo wanapigania kuunda taifa lao baada ya kulalamika kuwa wamekuwa wakibaguliwa
raia hao wamesema kwa kuwa wao wanazungmza kiingereza wamekuwa hawapewi ajira na serikali huwajali wale wanao zungumza kifaransa tuu
harakati za kujitenga zimeanza hivi majuzi na kuifanya serikali kutumia nguvu kuzima jaribio hilo la kujitenga
Post a Comment
0Comments