
Waziri mkuu wa tanzania khasim majaliwa asema muda si mrefu watanzania watasahau kuhusu kuvaa mitumba
maneno hayo yalisemwa na waziri mkuu wakati alipotembelea kiwanda cha nyuzi cha Namera kilichopo gongo la mboto mjini dar es salaam
waziri mkuu alisema kuwepo kwa viwanda vya nguo nchini kuna leta matumaini ya watanzania kuwa muda si mlefu uvaaji wa mitumba utakoma kwakuwa nguo zitakuwa bei raisi nchini
pia majaliwa amewataka wamiliki wa viwanda kutoa ajira kwa vijana wakitanzania ili wanufaike na viwanda hivyo huku wakiwakumbusha kuripa kodi ili nchi nayo ipige hatua
serikali ya awamu ya nne imekuja na seta ya viwanda ili kutoa ajira kwa vijana na kuusukuma uchumi wa nchi ili ugikie kuwa uchumi wa kati hii ikiwa ni juhudi za kuutokomeza umaskini nchini
Tags
Kitaifa