
Mkazi wa Tambukareli mkoani shinyangaSarah bundala miaka 55 ajinyonga baada ya aliye mzamini kwenye mkopo kukimbia na pesa
kamanda wa polisi Jumanne amesema tukio hilo limetokea kweli ambapo mama huyo alikutwa amejinyonga huku kisa akikufahamika kwa wakati
mume wa marehemu alisema kuwa mke wake alimpigia simu akimwomba pesa 40000 lakini yeye alimjibu kuwa atampa jibu atakapo rudi nyumbani
lakini baada ya kurudi nyumbani akamkuta akiwa amesha jinyonga katika nyumba yao
mume huyo alisema kuwa mke wake anamtindo wa kukopa sana na alishawai kukopa akashindwa kulipa alimlipia na ali mwonya kuhusu kukopa lakini hakusikia
inaaminika alimzamini mwanamke mwenzake kwenye mkopo lakini baada ya kupata pesa akatoweka hatua iliyo wapelekea walio mkopesha kutaka kuja kumfilisi nyumbani kwake ndyo yeye akaamua bola ajinyonge
Tags
Kitaifa