Polisi walipata taarifa kuwa kuna mtu ana gonga watu na gari darajani mjini london
kwa mujibu wa polisi mtu mmoja mwanamume ambae alikuwa na gari ndogo aliwashambulia watu kwa kuwagonga na kusababisha mtu mmoja kufariki dunia
katika tukio jingine watu kadhaa walishambuliwa kwa kisu na mtu mmoja na kupelekea idadi ya majeruhi kufikia 20 huku polisi walisema kuwa matukio hayo ni yakigaidi